Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Tafadhali hebu acheni kutupotezea muda na kutudanganya watu tunaoujua vyema mpira wa Tanzania (Bongo) na hizi kauli zenu za kimatumaini, kuwa kesho (Jumamosi) mtaifunga Yanga SC katika mechi yenu...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Klabu ya Simba leo Oktoba 28, 2022 imeingia mkataba wa miaka miwili wa Bima ya Afya na kampuni ya Mo Assurance ya Jijini Dar es Salaam. Mkataba huo uliosainiwa una thamani ya sh 250 milioni kwa...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari za asubuhi, Kama nilivyoleta uzi wangu jana kusema Simba ina kikosi cha kawaida kulinganisha na Azam, hilo halina ubishi na siyo Simba tu ni hata Yanga pia. Je, unafahamu toka Simba na...
2 Reactions
61 Replies
3K Views
Moja ya watu wenye uchu mbaya wa pesa kupitia vilabu vikubwa ni huyu mtu anaitwa Dauda. Ni mmoja wa virusi vikali sana anayetafuta kwa njia zote za fitna kupata fursa pale Klub ya Simba ili apige...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
MANCHESTER United inaamini kwamba itasepa na saini ya mshambuliaji wa Borussia Dortmund bila wasi msimu ujao kwa mbinu kali. United kwa muda mrefu imekuwa ikiripotiwa kwamba inahitaji saini ya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Haina salamu. Hasira zote zikushukie mchezaji usieleweka unacheza namba gani uwanjani, Erasto Nyoni. Hivi unashindwa nini kuiga mfano wa beki Aggrey Morris aliyeamua kutundika daluga? Yaani sasa...
9 Reactions
26 Replies
2K Views
Huyu kipa bila ya shaka anaonekana ni bora sana Tanzania kwa sasa. Hata hivyo ameshindwa kuimarika na inaonekana ameshafika kileleni. Katika mazingira ya mechi ngumu huwa anavuja sana kwenye...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Tumeshawachoka sasa, yaani kila Simba SC ikifanya vibaya (ikifungwa) ili kutuzuga wapenzi (mashabiki) haraka sana kesho yake (kama hii leo) mnakuja na Press Conference (Mkutano na Waandishi wa...
9 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa sasa mna timu ya kawaida sana, Tshabalala, Kapombe, Bocco, Nyoni na Mkude siyo wa miaka minne nyuma, Chama aliyerudi kutoka Morocco siyo yule alieondoka, pengo la Muqquison bado halijazibwa...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Haya pimeni wenyewe huyo babu wakati yupo kijana na wenzake vijana walikuwa hawa kikosini Simba...
10 Reactions
73 Replies
6K Views
Alaumiwe Mgunda na sub zake za ovyo na kikosi. Ndani ya uwanja floppers wa kutisha ni Nyoni, Boko kama kawa, yule Kyombo sijui ni kitete yaani fowards za kibongo huwa hazitulii kabisaaa mbele ya...
7 Reactions
56 Replies
4K Views
Wakuu Simba ni brand, siyo kikundi cha wahuni, na kila kilichopo Simba ni mali ya umma (wanachama). Hivyo kumpatia mtu hisa asilimia 49 kinyemela ni sawa na uhalifu. Tume ya ushindani unapaswa...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Mshambuliaji huyo wa Paris St-Germain na timu ya taifa ya Brazil alikuwa akikabiliwa na mashtaka hayo yaliyohusu usajili wake mwaka 2013 kutoka Santos kuhamia Barcelona akidaiwa usajili huo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mara baada ya mechi kocha alihojiwa juu ya ushindi ule hapa DSM dhidi ya Primiero De Agosto. Mtangazaji: Vipi matokeo ya leo unayaelezea vipi? Mgunda: Nawashukuru wachezaji wakongwe kikosini...
7 Reactions
8 Replies
845 Views
1. Azam ni timu nzuri, siyo timu ya kuilalamika sana ikikufunga. 2. Mgunda bado anatafuta chemistry ya timu, apewe muda.
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Wengine inawezekana mmeanza kujua mpira baada ya uwanja wa Mkapa kujengwa. Ngoja leo niwape story moja. Wakati tunatumia uwanja ambao leo unaitwa wa Uhuru, uwanja ulikuwa katika hali mbaya sana...
0 Reactions
1 Replies
669 Views
Sijawahi kupatwa na hasira na uchungu kama hii leo. Kyombo, Mkude, Nyoni na Chama wametuangusha pakubwa leo. Kuachwa na Yanga SC hii ya sasa yenye mikakati mingi ni kuwapa tu tayari Ubingwa wa...
12 Reactions
43 Replies
4K Views
Shirikisho la Soka (FA) limempa adhabu hiyo Meneja wa Liverpool kwa kosa la kugombana na mwamuzi msaidizi kwenye mechi ya Ligi Kuu dhidi ya Manchester City. Klopp, alioneshwa kadi nyekundu kwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Baada ya kudumu kwenye soka la ushindani kwa takribani miaka 22 akicheza kwa mafanikio makubwa sana, Kipa Juma Kaseja ‘Tanzania One’ hatimaye amefanya maamuzi magumu kwa kutangaza kustaafu kucheza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Lengo la kuwa na mechi ya nyumbani na ugenini ni kuweka mizania sawa kwa timu mbili husika. KMC wanatumia uwanja wa Uhuru hapo Dar kama uwanja wake wa nyumba. Ombi langu kwa Bodi ya Ligi ni...
1 Reactions
2 Replies
627 Views
Back
Top Bottom