Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Boston, Marekani MBIO ZA MARATHON BOSTON 2023 - APRIL 17, 2023 GABRIEL GEAY AMALIZA MBIO ZA BOSTON MARATHON 2023 NCHINI MAREKANI NA KUSHIKA NAFASI YA PILI , KONGOLE KWA GABRIEL GEAY ! Evans...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Hapa kuna orodha ya baadhi ya wachezaji wa soka maarufu ambao wamewarithi vipaji vyao kutoka kwa wazazi wao: 1. Baba: Wilfried Mbappé, alikuwa mchezaji wa soka na pia alikuwa kocha wa vijana...
1 Reactions
9 Replies
669 Views
Huku Maloid kule Jonathan Sowah.. Klabu ya Simba leo itakuwa dimbani kucheza na klabu ya Gaborone ya Botswana katika michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika, hatua ya awali. Mechi hiyo itafanyika...
7 Reactions
89 Replies
5K Views
Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 yanayotarajiwa kufanyika nchini Morocco kuanzia tarehe 21 Desemba 2025 hadi 18 Januari 2026, yamefungua rasmi milango ya volunteering program...
2 Reactions
8 Replies
361 Views
Nitaenda na formation ya 4-4-2 Donnaruma Hakimi Bastoni Saliba Mendes Yamal pedri vitinha vinicious Kane Mbappe
3 Reactions
3 Replies
225 Views
Wakuu muda huu Berlin marathon inafanyika huko Germany na Tanzania ikiwakilishwa na Gabriel Geay Mwenye rekodi Bora ya masaa 2:03:00 katika 42km full marathon.. Tutegemee medali!! Naona Kwa...
5 Reactions
24 Replies
813 Views
Katibu Tawala mkoa wa Tabora Dkt John Mboya amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan, ameagiza klabu ya inayoshiriki ligi kuu soka Tanzania Bara TRA UTD SC...
5 Reactions
13 Replies
678 Views
Klabu ya Simba Queens imekamilisha usajili wa mshambuliaji Senaf Wakuma (25) kutoka CBE Woman ya Ethiopia Mshambuliaji Senaf Wakuma ndio amefunga usajili wa Simba Queens kuelekea msimu ujao wa...
1 Reactions
7 Replies
580 Views
Mstari wa tatu wa Simba SC unapoangaliwa, mara nyingi unapokea macho na vishawishi kutoka mashabiki na wachezaji wenza. Hapa ndipo tunapokutana na wachezaji watatu wa kipekee: MPANZU, AHOUA na...
2 Reactions
9 Replies
677 Views
Mtanzania Alphonce Felix Simbu ameshika nafasi ya kwanza na kushinda Medali ya Dhahabu katika mbio za Marathoni Kilometa 42.195 upande wa Wanaume katika mashindano ya Dunia ya World Athletics...
13 Reactions
47 Replies
2K Views
1. YANGA: Sisi tusiojua soka ila ni mashabiki, tuanaona yanga wana wachezaji wazuri, wasiwasi kwa kocha. Je wachambuzi na mnaojua mpira huyu kocha atawavusha YANGA kweli? 2. SIMBA: Sisi tusiojua...
2 Reactions
28 Replies
1K Views
Najua Yanga wengi walikuwa na kikosi chao kichwani. Mara kocha mpya kaja na selection yake ambayo haikutegemewa. Edmund John Aziz Andambwile Leo wamecheza vizuri wote lakini bado hatujawaona...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Sasa Tanzania ndani ya nchi yetu tumepata top top Defensive Midifielders, vijana wenye nguvu kweli kweli, mmoja Akitokea Simba Sports Club kwa jina Akijulikana kama Yusuph Kagoma Mvunja Kuni, na...
3 Reactions
10 Replies
588 Views
Ubalozi wa Tanzania - Tokyo, umepokea wanariadha wa Tanzania, Sgt. Alphonce Felix Simbu, Mshindi wa Dunia wa Mbio Ndefu (Marathon) katika Mashindano ya Dunia 2025 yaliyofanyika Tokyo, Japan...
2 Reactions
6 Replies
410 Views
Mechi ya Al Merrekh vs Azam inaomesha kuanza saa kumi na nusu kwa mujibu wa Azam media, ila kule sofa score game imeanza saa kumi na mpaka sasa Azam anaongoza goli moja wakati saivi Azam ndio wapo...
1 Reactions
8 Replies
415 Views
Naaaaaaam Barabara kabisa... Karibuni wapendwa wanamichezo katika mpambano wa kukata na shoka kati ya Simba ya Tanzania dhidi ya Kaizer chiefs ya Afrika Kusini, mechi hii ni ya mkondo wa pili...
22 Reactions
611 Replies
51K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo ambaye pia Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa Amezitakia kheri klabu za Tanzania Simba, Yanga pamoja na Singida Black Stars ambazo hii...
3 Reactions
12 Replies
922 Views
Wachezaji wanaojitambua wanastahili heshima ya kipekee. Wachezaji wengi wa Tanzania hawafiki mbali maana hawajitambui. Wanalipwa mshahara, halafu wanageuka tena wanapokea hongo kukwamisha timu...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
N:B: Ngao ya jamii haihusiki 😁 Simba wametandikwa kihalali. Tupo Tanzania, hapa sio Malawi au Kenya, ukiwa na kampuni, biashara, taasisi, n.k. kuna vitu inakubidi uvifanye katika uwanja wa...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Wiliete SC vs Yanga SC Kikosi kinachoanza dhidi ya Wiliete SC Mpira umeanza Dakika ya 3 Yanga SC wanapata free kick Dakika ya 33 Andabwileeeeeeeeeeee Shuti kali kutoka kwa Aziz linatupa bao...
14 Reactions
125 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…