Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hii tabia ni ya kipekee kabisa, heshima ni kitu cha bure. Mpira ulivyoisha tu, wakakusanya taka zilizopo maeneo walipo wao, zote, na kuzitupa kwenye mifuko ya rambo na kutupa mahali pa taka na...
28 Reactions
70 Replies
5K Views
Apewe Baharesa!🤣🤣🤣🤣 "Timu ya Simba kama Mo Dewji ameshindwa ampe Bakhresa, Simba ni kubwa kuliko Barbara, kama wameshindwa wampe timu Bakhresa.
7 Reactions
38 Replies
2K Views
Je, De Agosto ya Simba ni bora kuliko Al-Hilal ya Yanga? Au zina ubora sawa? Kama ukishindwa kutoa jibu sahihi kwenye maswali haya, basi Simba inaweza kuchapwa na Yanga tarehe 23 October bila...
2 Reactions
57 Replies
4K Views
Sie watazamaji yetu macho, ngoja tuone kama kutakuwa na ukweli au sound kama ilivyo desturi yao.
7 Reactions
40 Replies
6K Views
Nimetafakari kwa uwezo wangu na kutazama kinachoendelea kwa timu yetu ya Simba katika michezo yake mikoani na nimejiridhisha bila shaka kuwa dharau za viongozi wetu zinatugharimu. Kila sehemu ina...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Timu inashinda kwa nyota kali za majina ya wachepushaji wakubwa waliyoichezea na ambao wameweka saini zao. Imeisha hiyo.
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Ukiona tu GENTAMYCINE hakubali kitu au anakidharau jua kwa kuwa Kwake 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' ukichanganya na tunu (shani ) nyingi alizobarikiwa naye na...
2 Reactions
1 Replies
591 Views
Nataka kujua kama leo mtaonyesha mechi ya Brazil na Serbia itakayochezwa saa nne usiku. Maana hamna ratiba kamili mechi zipi mtaonyesha! Kwa sisi tusiyokuwa na DStv tulifarijika baada kuona...
3 Reactions
40 Replies
5K Views
Makocha wasiojitambua wanashindwa kabisa kuepuka tabia binafsi za wachezaji na swala la uchaguzi wa timu. Simba Ni timu ya kawaida yenye wachezaji fixed. Sacko Hana mbadala Simba. Labda Kama...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Huenda kwa sasa wakaonekana ni mashujaa wa kiislamu baada ya kuchachamaa sheria zao hasa za dini zisivunjwe wala kuingiliwa na utamaduni wa magharibi kama ushoga, ulevi,tattoo nk. Lakini...
10 Reactions
40 Replies
3K Views
Yupo binadamu aliwahi kusema ukweli ni dawa kwa aliye tayari kuupokea. Mwingine akasema kama unacho cha kusema na kisha ukachagua kukaa kimya, hiyo ni tafsiri nyingine ya uongo. Ni nani mwenye...
0 Reactions
6 Replies
746 Views
Juma Mgunda atabebeshwa zigo la lawama, ila ukweli ni kwamba Simba ni mbovu. Watu tulisema toka mwanzo kwamba Simba ni mbovu tukaishia kutukanwa. Njooni Jumamosi Taifa muone Mbeya City...
12 Reactions
31 Replies
2K Views
Hakuna mechi nimeangalia imeniuma kama hii ya Ubelgiji dhidi ya Canada. Yani vijana wanapiga mpira wa uhakika, mpira mtamu, boli linatembea, yaani Ubelgiji leo ilikuwa kama Ihefu kwa Canada...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Uingereza inaongoza katika timu zote shiriki za michuano ya Kombe la Dunia 2022 inayoendelea nchini Qatar kwa mujibu wa viwango vya soko la wachezaji lilivyo kwa sasa. Uingereza ina thamani ya...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Sikiliza mwenyewe "Jina la Simba kuliko watu waliyopo, kwa mchezo huu namlaumu Mgunda kwasababu Boko alikuwa amechoka na amechelewa kumtoa hata kabla ya kuambiwa. Akamuingiza Kibu, lakini kibu...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwanini usitusaidie kwenye usajili achilia zile bilioni 20 za Mwamedi. Hizi 26 zinasaidia vipi timu yetu? Tunaumia sisi mashabiki. Suala la ngada mbona hamjaomba radhi Ili tujisafishe japo kidogo...
4 Reactions
9 Replies
723 Views
Ndiyo mwendo wa kisasa. Waliopambwa wamepembuliwa. Toyota, Suzuki, Isuzu mwendo mdundo.
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Naomba uzi huu tupeane matokeo ya ligi kuu pamoja na msimamo ulivyo kadri siku zinavyokwenda. Hapa jukwaani matokeo ya mechi za Simba na Yanga huwa yanakuwa mubashara lakini mechi nyingine...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Wameshajua tayari kuwa sare ya leo imewakwaza wana Simba SC wengi kwani sasa pengo kama Yanga SC itashinda mechi zake na kuwa sawa kimichezo na Simba SC itakuwa ni alama (Points ) saba (7) kamili...
19 Reactions
33 Replies
3K Views
Kama si mbiringe bila shaka ni patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Novemba 23, 2022 ambapo aabishi Mbeya City wanawakabili wekundu wa Msimbazi Simba SC kwenye Uwanja wa...
9 Reactions
458 Replies
27K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…