Udhamini wa bilioni 26 upo wapi?

Kwanini usitusaidie kwenye usajili achilia zile bilioni 20 za Mwamedi. Hizi 26 zinasaidia vipi timu yetu?

Tunaumia sisi mashabiki. Suala la ngada mbona hamjaomba radhi Ili tujisafishe japo kidogo kwenye hili?

Mabilioni ya udhamini yapo wapi?
Mkuu usiumie kwa kitu ambacho hata kilo ya unga hakikuletei kwenye familia yako. Watu wanaendesha timu kihuni kwa maslahi Yao alafu niumie Mimi? Haitotokea japo mm ni mwana Simba. Waache waendelee na janja janja hizo watavuna walichopanda.
 
Kondomu ingetumika, mtu kama huyu asingekuwepo...

Udhamini wowote ule hupewi hela zote kwa mkupuo.
Kuna uwezekano unapewa kwa mwezi, robo, mwaka



Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kwani tuna wadhamini wangapi? Je pesa wanayotoa hao wadhamini achilia mbali zile bilioni 20 sizingetosha kununua hata mshambuliaji mmoja? Punguza ngada ndo mnafanya tunaitwa ngada fc
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom