Ujerumani walikuwa wamevurugwa baada ya tamanio lao la kupigia kampeni LGBTQ kugonga mwamba, maana Qatar ilisimama kidete kusema haiwezi kuruhusu kwenye ardhi yake mambo machafu kupigiwa kampeni...
Nitabakia kuwa timu Argentina, France na Germany pekee, na hakuna timu nisiyoipenda na ninayoiombea mabaya kama ya Brazil kutokana na jezi yao, na hasa baada ya GENTAMYCINE kugundua kuwa 99.9% ya...
Habari wakuu kwa wataalamu wa sanaa ya mchezo wa karate kata zina umuhimu gani au zinatumika vipi katika kupigana iwe ni kwenye hali ya mtaani (street fight ) au kwenye mashindano ya karate .kwa...
Habari za mwamko waungwana,
nimejiuliza hili swali nikashindwa kupata majibu.
Kwa mfano timu A inacheza na timu B, Timu A wakapata penati, mchezaji wao akaipiga na kipa wa timu B akaitema mpira...
Baada ya miaka 17 ya umiliki wa Glazers family, iliyokumbwa na mikiki ya kukataliwa na mashabiki, sasa rasmi wameamua kuiweka klabu ya Man Utd Sokoni. Hili limetangazwa tarehe 22/11/2022.
Katika...
Sasa ni wazi.
Nchi za Ulaya na Marekani wana nia rasmi ya kueneza USHOGA dunia nzima.
Sina lugha nyepesi zaidi ya kusema huu ni USHENZI ambao dunia huru haiwezi kuukubali.
Hakuna dini inaruhusu...
Toka Kombe la Dunia lianze, upande wa DStv Swahili huyu kijana amenikosha sana, haboi kusikilizwa.
Hapigi kelele ila anatoa 'fact', usimuliaji wa mpira unatiririka.
Leo Qatar tunampiga kibonde...
Naumia sana, Simba ina watu weledi waliowahi kutumikia nyadhifa mbalimbali serikalini, ina mtu msomi kama Magori lakini huwezi amini Yanga ya GSM inatisha sasa hivi.
Kuwa 'unbeaten' mara 49...
Nafikiri tunaanza kuelewana mdogo mdogo, Yanga mikoani kavuna alama 18 mechi 6, Simba mikoani kavuna alama 5 mechi 3, kadondosha alama 4.
Mzunguko wa kwanza Yanga atakuwa kacheza mechi 8...
Mshambuliaji huyo wa Brazil amepata majeraha ya kifundo cha mguu wakati timu yake ikishinda 2-0 dhidi ya Serbia baada ya kuchezewa faulo na Nikola Milenkovic.
Alionekana akilia akiwa kwenye...
Leo hii analaumiwa Okrah, mechi iliyopita alilaumiwa Zoran, ya ngao akalaumiwa Inonga, sasa nyie kila mechi mtakuwa mnatafuta kichaka cha kufichia madhaifu yenu?
Mlikuwa mnasema Juma Mgunda...
Pamoja na ukweli kuwa R7 kwa sasa hana kasi yake ile ya zamani lakini Ronaldo wa kwenye kombe la dunia ameonekana kuwa tofauti sana na yule Ronaldo wa EPL kama mchezaji wa Man U.
Jana R7 kaibuka...
Inanipa shida kauli ya msemaji wa simba, aliposema ligi yetu ni dhaifu.
Pia zinanipa shida Tff na bodies ya ligi wenye mamlaka na ligi yetu.
Ligi haiwezi kuwa dhaifu kama muandaaji na msimamizi...
Wengi tumeshawadharau maana mnachotafuta ni likes na retweets za mashabiki ili mjione Magwiji wa uchambuzi.
Muda mfupi baada ya mechi ya Simba Vs Mbeya city umetweet ukimlaumu mwamuzi msaidizi...