Yaani kama wachezaji wenyewe ndio hawa waliokimbizwa mwanzo mwisho na mlandege, kocha wetu mpya kazi anayo, tena kubwa sana.
Tusitarajie kupata matokeo kwa kuwategemea akina kapombe, zimbwe...
Hapa wameshajiharibia. Nimefurahi sana maana wanaenda mfukuza huyu kocha muda si mrefu. Atabaki tena Mgunda na Matola. Ndo nawaaambia hivyo.
Wachezaji watamnyima ushirikiano. Atabaki peke yake...
Leo Saa 2:15 usiku, Mnyama Mkali Simba Sc Anashuka Uwanjani Kupekechana na Mlandege
Simba SC ambao walipata ushindi mechi ya kwanza kupepetana na Mlandege waliopata sare mech ya kwanza.
Je...
Michuano ya CAFCC inahitaji mbinu nyingi sana wakati Juma Mgunda ni mzuri zaidi kwenye uhamasishaji.
Ni sahihi kwa Simba kuleta kocha atakayeenda kushindana kimbinu kuliko kuwa na mhamasishaji...
Ningependa kuwakumbusha mashabiki wenzangu wa Arsenal ya kuwa, kwa sasa tupo kwenye hatari zaidi ya kudhuriwa na mashabiki wa timu zengine kuliko vipindi vyote.
Yani amani imepungua. Yote ni kwa...
Hawa ndio wangeingia kwenye kikosi cha kwanza.
1. E. Martinez
2. Hakimi
3. T. Hernandez
4. Gvardiol
5. Otamendi
6. de Paul
7. Messi
8. Allister
9. Alvarez
10. Modric
11. Mbappe
Kwa mwenye akili unamwambia hongera Sana. Unamtia na moyo na ikiwezekana Basi unajikausha Kama huoni vile.
Lkn wanachokifanya Yanga Ni sawa na kulalama tu. Mtu mmempeleka kula miwa Morogoro pre...
Christiano ronaldo aliyehamia klabu moja uko uarabuni amelazimisha kipengele cha kujiunga na Newcastle united majira ya joto ikiwa new castle united ya uingereza utafuzu kucheza UEFA msimu wa...
Ni wana Yanga pekee wanaowaza tofauti na binadamu wengine. Wao ndio pekee wanaoamini kuwa Chelsea Atatwaa ubingwa wa English Premier league wakati kazidiwa points 16 na anayeongoza ligi lakini...
Moja ya mambo ambayo yamekwamisha sana maendeleo ya sekta nyingi nchini ni kuvurugwa au kutokuwepo kabisa kwa vyama vya wafanyakazi.
Hii imesababisha kutokuwepo kwa mikataba inayozingatia haki...
Katika kile kinachoonekana anataka ‘kutikisa kiberiti’ japo haijajulikana kama alikuwa anamaanisha au anatania, Kocha huyo wa Al-Nassr, Rudi Garcia ametoa kauli hiyo mbele ya waandishi wa habari...
Kila nikiwaangalia hawa wachezaji wawili nashindwa kuelewa ilikuwaje wakanunuliwa kwa bei kubwa namna ile.
Hawa ni underdogs wawili waliotumika kufanya utapeli pale Liverpool na Man united. Nunez...
Yanga wakimuaga daktari wa timu wiki iliyopita.
Kambole amekuwa akifungiwa ndani huko Avic Town Kigamboni ili kuficha aibu ya siasa za usajili.
Huyu ni mchezaji aliyetajwa kuachwa na Yanga baada...
#MICHEZO Nyota watano wa klabu @yangasc hawatakuwa sehemu ya kikosi ambacho kimeondoka leo chini ya kocha msaidizi Cedric Kaze kuelekea visiwani Zanzibar kushiriki Kombe la Mapinduzi lililoanza...
Nianze kwa kutoa lawama zangu KWA uongozi wa Yanga kwa sababu nimesikia eti Feisal amejiunga na kambi ya Yanga.
Ni kwamba mashabiki wa Yanga hatumtaki Feisal.
Tumeshakubali kwamba ameondoka...
DIARRA BADO YUPO SANA: Klabu ya Yanga imetangaza kumwongezea mkataba golikipa wake Djigui Diarra na sasa- nyota huyo atasalia mitaa ya Jangwani mpaka msimu wa 2024/25.
Diarra alijiunga na Yanga...
Nauheshimu Uongozi wangu wa Simba SC ila GENTAMYCINE nikiulizwa naonaje Usajili wa Saido Ntibanzokinza jibu langu nitatoa haraka tu kuwa hakuistahili Kusajiliwa Simba SC na Hadhi ya Simba SC siyo...
Salaam Wana JF
Ukiondoa ushabiki, akili Banda, uchawa na kuusimamia ukweli wa mpira unaweza kuona ni jinsi Gani Yanga ni industry Bora Kwa maendeleo ya mpira Kwa sababu zifuatazo:
1. Feitoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.