Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Naamini Kamarada (Comrade) wangu Hussein Msemaji wa Singida Big Stars FC yuko (tunae 24/7) hapa Mjengoni JamiiForums hivyo atalifafanua hili na kuliweka sawa kwani Binafsi kama GENTAMYCINE...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ikiwa na wachezaji watano wanaoanza pungufu leo tumefanikiwa kujipatia pointi tatu muhimu. Yanga leo imecheza bila nyota wake tegemezi watano. ~ Yannick bangala ~ Khalid aucho ~ Benard Morisson...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Ningeletewa Manzoki pale mbele, Bobosi hapa katikati na akarejeshwa Miquissone upande wa winga ya Kulia halafu nikampata na Kiungo wa Ulinzi halisia Mukoko kisha nikampata yule beki wa kushoto...
11 Reactions
47 Replies
4K Views
Kocha wa shule ya upili ya Texas amepewa likizo ya utawala baada ya kuwataka wanafunzi wa riadha kupiga Push Ups 400 ambapo baadhi yao walitakiwa kupata matibabu na kulazwa Hospitali. Kocha wa...
0 Reactions
0 Replies
587 Views
Uongozi wa Yanga SC na wana Yanga SC msione Aibu Kutangaza kuwa mnapanga kuachana na Mtukutu Bernard Morrison ili kubaki na Wachezaji 12 Wanaotakiwa. Na taarifa za ndani kabisa kutoka kwa...
6 Reactions
42 Replies
5K Views
Machampioni watetezi wa ligi kuu nchini Tanzania Young Africans S.C almaarufu Yanga leo wanashuka dimbani kukabilia na Ihefu katika mwendelezo wa ligi kuu ya Nbc... Mchezo huo utakuwa mgumu kwa...
3 Reactions
196 Replies
14K Views
Kuna Watu nawashauri mapema tu kwakuwa nimeshaona hawana Mabeki wa Kuwazuia akina Mayele na Musonda hiyo tarehe 9 April, 2023 basi GENTAMYCINE nawashauri kuanzia leo wakirejea kutoka Kuzurula na...
11 Reactions
24 Replies
2K Views
Naenda Kulala nitasoma Comments zenu nikiamka Kesho ila Siku zingine tusione Aibu kusema Daraja la Timu tunayoenda Kucheza nayo.
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Mwaka 2023 umeanza vizuri kwa Messi akizoa tuzo 3 za IFFHS, huu ni mwanzo tu tuzo nyingine zinakuja nyingi kwa GOAT [emoji238]. Tuzo alizoshinda ni pamoja na best player, playmaker na mfungaji...
6 Reactions
47 Replies
3K Views
Sasa makelele yote ya kuwa nchi itatingishika ndio yule Musonda? Ntibazonkiza kacheza mechi moja tu kaondoka na mpira na hao Mbeya City wajipange kweli kweli j5, otherwise watakufa 8, msiwe...
8 Reactions
89 Replies
5K Views
Kama ilivyokuwa kwa Azam na Simba, Yanga nao wamepata ushindi wa mbinde kwa Ihefu wa goli moja tu. Ikumbukwe kuwa ktk mechi za Azam v Ihefu na ile ya Simba v Ihefu zilizochezwa Dar es salaam zote...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Klabu ya Simba almaarufu Wekundu wa Msimbazi leo imetangaza kumsajili Mshambuliaji kutoka Malindi ya Zanzibar kwa mkataba wa miaka miwili. Mchezaji huyo anayefahamika Kwa jina la Mohamed Mussa au...
8 Reactions
57 Replies
9K Views
Morrison bado yupo kwao. Aziz Ki bado yupo kwao. Feisal tunaambiwa hana professional kutoka kambini sawa Lakini Hawa Azziz key na Morrison wanajua kesho yanga ana game ngumu na IHEFU ambayo...
10 Reactions
54 Replies
4K Views
Fuatilia live mtanange huu kwa link hii
3 Reactions
171 Replies
12K Views
Nawaambia Yanga ni Taasisi kubwa sana. Asilimia 80 ya Wana CCM ni Yanga na Chama ni Yanga. Huyu Dismas alitaka shindana na Nchi. Kiko wapi?
4 Reactions
21 Replies
2K Views
SIJUI ni lini tutaacha kutumia siasa katika vitu vya msingi. Nawaza sana juu ya hili lakini sijapata majibu. Ni wiki moja sasa imepita tangu sakata la mchezaji Feisal Salum ‘Fei Toto’ limalizwe...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Sijajua kwa Vilabu vya hapa Kwetu Tanzania ( na nahisi havina Upuuzi huu kwa Matajiri wake ni Watu na Wafanyabiashara Waaminifu na Wacha Mungu mno ), ila kwa Vilabu vingi Vikubwa vya Soka ( Mpira...
7 Reactions
45 Replies
3K Views
Siku zote Kwa watu Wenye busara tatizo huzaa Somo. Jana Mwamuzi Stuart Antwel akishirikiana na Waamuzi wa VAR kwenye Mechi ya Mahasimu wa Manchester ameanzisha mtifuano wa hoja dunia nzima...
4 Reactions
46 Replies
3K Views
Haya basi sawa karibu nyumbani mdogo wetu, ila this time ukiondoka usituoneshe dole la kati wananchi please [emoji1488][emoji26]
2 Reactions
28 Replies
2K Views
"Katika dirisha hili dogo Simba SC wamesajili vyema na kiufundi kuliko Yanga SC," Wilson Oruma Mchambuzi wa Michezo EFM na Rais wa Wapanda DalaDala (Bayankata) Tanzania nzima. Chanzo: EFM Sports...
10 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom