Kuna kitu nilikuwa natafuta na kwa bahati mbaya ikanilazimu kuingia chumba cha shemela na alikuwa sebuleni..Nilichokiona ni siri ya nafsi yangu ila nikaona niwashirikishe..Shemela katupa kufuri...
[emoji17] [emoji17] [emoji17]....Jamaa alimfungia huyo kijana kimazingira ndani ya nyumba yake wakati anajenga wakamuachia kasehemu kdg tuu, ni miaka na miaka dada mtu kagombana na Kaka ndiyo...