Kuna tofauti ya Mungu na munguMbona iyo ni kawaida sana kipindi cha summer
Alafu wanazidi kubarikiwa tu na mwenyezi mungu sisi uku tuendelee kukesha makanisani na misikitini iko siku tu mungu atatusikia na sisi atatuvua nguo kabisa tuwe free
Kuna tofauti ya Mungu na mungu
wazungu kiuhalisia huwa hawavutii sometimes huwa nawaonea kinyaa sema ukuwaji wa technologia umewasaidia kubadili maumbo yao nakufanya ya vutie kiasi..!!
Duh!Hivi umesemaje?
![]()
nawenyewe wanasemaga hivo hivo kuhusu waafrikawazungu kiuhalisia huwa hawavutii sometimes huwa nawaonea kinyaa sema ukuwaji wa technologia umewasaidia kubadili maumbo yao nakufanya ya vutie kiasi..!!