Leo katika mizunguko yangu nikasema ngoja niingie hii garden hapa kila siku naiona lakini sielewi ni nini haswa.
Hakuna kiingilio,pametulia sana kuna sehemu za kupumzikia.Panafaa sana kwa wale...
kama unajijua wewe ni mtumiaji wa unga, nafikiri unatakiwa ujipeleke mwenyewe kituo cha pilisi! na usipo jileta polisi! tutakuja kukukamata sisi wenyewe, maana najua wazi kabisa kila mmoja anatumia.