bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,956
Leo katika mizunguko yangu nikasema ngoja niingie hii garden hapa kila siku naiona lakini sielewi ni nini haswa.
Hakuna kiingilio,pametulia sana kuna sehemu za kupumzikia.Panafaa sana kwa wale wasiopenda kelele na bugdha za mjini.Yani kama una kitu chako unafanya na unahitaji utulivu wa mazingira nenda Themi garden mukuu.
Sehemu za kupumzikia,vijito vinakatisha,matunda tunda yakuchuma mwenyewe wala ukipenda.Im sure hakuna a place like this in whole of East and Central Africa. Kudos Arusha city council na Milan city council kwa hii project.
View attachment 467809