MWANDENDEULE JF-Expert Member May 24, 2015 3,996 7,087 Feb 7, 2017 #4 Yuko na wana, sijui walikuwa wanapanga mikakati gani hapo naona masela wanamskiliza mkuu wao wa mkoa kwa umakini kabisa.
Yuko na wana, sijui walikuwa wanapanga mikakati gani hapo naona masela wanamskiliza mkuu wao wa mkoa kwa umakini kabisa.
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Mar 25, 2016 10,518 13,135 Feb 7, 2017 #5 Hao jamaa hawaaminiki unaweza kaanaye hiyo baadaye ukija kujisachi unakuta wamekuliza.
Okol36 JF-Expert Member Jan 10, 2015 1,524 716 Feb 7, 2017 #6 Ndege WA aina Moja huruka kwa Mabawa ya aina Moja
Kingsharon92 JF-Expert Member Aug 10, 2015 7,760 10,142 Feb 7, 2017 #7 Kwa hiyo aliamua kwenda frontline mwenyewe?