Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,925
- 95,582
Sasa wewe mswahili mbona neno kutokelezea hujalikosoa?Liko vizuri kisarufi??? ..........au ndo yaleyale ya kutafuta kick na likes kwa nguvu na uvumba JF??Anapohamua=anapoamua,
Hivi shuleni mlienda somea ujinga??? (In Faizafox voice)
kautani kanakotufanya wamoja!Hahaha. Et wanaume wa Dar.
Kweli kabisa.kautani kanakotufanya wamoja!
Mbona wanaume wa dar umnadharaulika sn... KulikonHahaha. Et wanaume wa Dar.
Wanaume wa Dar wanadharaulika siyo mnadharaulika...... Chuga moja hii chalii.Mbona wanaume wa dar umnadharaulika sn... Kulikon