Kuna watu wamekula chimvi nyingi mpaka basi!

SNAP J

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
7,106
8,044
Screenshot_2017-02-06-19-56-29-052.jpeg
 
Halafu wanasiasa fuata upepo wa kwetu wanatoa mapovu kwenda ICC mbona malikia hajashitakiwa ???
Ha ha ha.. yaani wanatuona mazuzu kweli, mi ningekua na uwezo ata rais wetu angekaa angalau mihula minne ili atufikishe sehem mzuri zaidi..... maana hii miaka kumi mtu unashindwa kutekeleza sera na mipango mingine ndio maana malkia ana muda huo
 
Kweli kqbisa .. Ukweli ni kwamba hakuna democry dunian Sema tu sisi wenyew ndio wajinga tunaiga na kufuata mambo ambayo hata wanzilishi wa hyo democracy hawayafuati
 
Halafu wao wanatoa mapovu eti Mugabe amekaa mda mrefu madarakani... Hawa wazungu ni mbwa kabisa

Amekutana na maraisi 12 wa America, yaani wanaingia kwenye power wanatoka yeye yupo tu
image.jpg
 
Akienda na Trump itakuwa12
Nitoke nje ya mada kidogo..

unajua ubaguzi wa rangi(racism) ni kitu ambacho kinafanywa sana na hawa elites wa dunia hii na siku zote mtu mweusi athaminiwi kulinganisha na race zingine.

Nakumbuka Obama alisubiri miaka miwili tangu aapishwe ndio akapewa mualiko wa kukatembelea haka kamama(Queen Eliza) lakini leo hii Trump ajamaliza hata mwezi tayari kameshamualika akazuru makazi yake kwa hiyo ni muda wowote tu ule kwanzia sasa Trump akiamua.

Hii inatoa tafsiri gani, kwamba mtu mweusi hata uwe na nguvu au pesa kiasi gani bado tu utakutana na white atakae kuchukulia wewe ni option tu.
 
Ha ha ha.. yaani wanatuona mazuzu kweli, mi ningekua na uwezo ata rais wetu angekaa angalau mihula minne ili atufikishe sehem mzuri zaidi..... maana hii miaka kumi mtu unashindwa kutekeleza sera na mipango mingine ndio maana malkia ana muda huo
Pepo Mchafu shindwa na ulegee
 
Nitoke nje ya mada kidogo..

unajua ubaguzi wa rangi(racism) ni kitu ambacho kinafanywa sana na hawa elites wa dunia hii na siku zote mtu mweusi athaminiwi kulinganisha na race zingine.

Nakumbuka Obama alisubiri miaka miwili tangu aapishwe ndio akapewa mualiko wa kukatembelea haka kamama(Queen Eliza) lakini leo hii Trump ajamaliza hata mwezi tayari kameshamualika akazuru makazi yake kwa hiyo ni muda wowote tu ule kwanzia sasa Trump akiamua.

Hii inatoa tafsiri gani, kwamba mtu mweusi hata uwe na nguvu au pesa kiasi gani bado tu utakutana na white atakae kuchukulia wewe ni option tu.
Kwa sababu ya hali ya kisiasa iliyoko Uingereza now, ukizingatia brexit inailazimisha uingereza kuwa karibu zaidi na Marekani kutokana na kujitenga EU, so nadhani hata waziri mkuu wa Uingereza alikuwa ndio kiongozi wa kwanza kukutana na Trump so si tatizo kwa Trump kuanzia huko.
 
MUGABE ALIULIZWA NA REPORTER NADHANI WA CNN

" Mzee dont you think it is high time you retire because of AGE"

AKAJIBU " Do you also asks QUEEN ELIZABETH this question or it is reserved only for AFRICAN Presidents"

WAZUNGU WANATUZUGA. MERKEL WA UJERUMANI ANAGOMBEA TENA.

AMERIKA BABA NA MTOTO WOTE WANAKUWA MARAISI
 
Back
Top Bottom