Kipi kipimo cha urefu wa mtu?

orangutan

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
757
773
Urefu au ufupi wa mtu unategemea na mtu unaejilinganisha nae. Mcheki Shaquille O'Neil aliposimama na bibiye Simone Biles.
IMG_20170207_152714_825.JPG
 
  • Thanks
Reactions: ydn
huyo bibie ni mfupi hata kwangu mimi average. futi chini ya tano ni mfupi.
 
Orangutan hiyo avatar yako umekosa picha nzuri ya Orangutan uweke?

Hiyo inaonekana kama vile ugonjwa fulani wa ngozi. Chagua nzuri aaaaghrr
 
Back
Top Bottom