M mangatara JF-Expert Member Jul 6, 2012 14,517 14,148 Feb 6, 2017 #3 Mtu weye, mbona vitu vyako vya kiajab?? Li wapi hilo daraja??
Kajolijo JF-Expert Member May 30, 2016 3,364 4,612 Feb 6, 2017 #5 Litakua limezindukiwa na balozi wa nyumba kumi
SNAP J JF-Expert Member Dec 26, 2013 7,106 8,043 Feb 6, 2017 #6 Ngoja waje wakupe mchanganuo wa gharama zake ndio utapodata.
Yudasti JF-Expert Member Jan 22, 2017 986 1,423 Feb 6, 2017 #7 Mgirik said: Hahaaha!! Hapo nafikir ni malawi Click to expand... hata mbuyu ulianza kama mchicha