Mabibi wakielekea shule kwa furaha kabisa
Shule inaendelea
Wanafunzi wakiwa na Mwalimu wao ambae ndie muanzilishi wa shule na hilo wazo..
Mabibi wakiwa darasani kwa umakini mkubwa wakijifunza...
Mapozi ya picha
Bi shost si wa mchezo mchezo
Shost yangu House girl si wa mchezo mchezo kisa kaona choo kina vigae basi kwake pasafi kabisa hadi vyombo,mchele anaoshea humo humo