Vikongwe wakijifunza KUSOMA na KUANDIKA: Dunia Inatushangaa Kutetea VYETI FEKI

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,722
_94969532_8e60a6ed-dbcc-4437-af69-d41bb61a19f6.jpg

Mabibi wakielekea shule kwa furaha kabisa
_94922875_l1189708.jpg

Shule inaendelea
_94922491_dsc_6828.jpg

Wanafunzi wakiwa na Mwalimu wao ambae ndie muanzilishi wa shule na hilo wazo..
_94969526_0293a3e8-f51d-4d4a-947a-4ced774e6f9a.jpg

Mabibi wakiwa darasani kwa umakini mkubwa wakijifunza kuandika.
_94969527_9b049176-5618-4517-8f76-2e4f258d175a.jpg

Bibi akipiga Chabo. C - FOR CUP.
_94926996_dsc_3870.jpg

Sasa hapa sijui wako break ya saa nne au ndio safari ya nyumbani.
_94922489_dsc_6632.jpg

Mabibi wakicheza ukuti, break ya saa nne.

_94969530_d362d86d-7a60-4d10-9077-71d44df3e004.jpg

Bibi akimaliza muda wa masomo na kuelekea nyumbani.
 
_94969531_e6704dd2-2426-4a1e-a077-ac6f68f4677d.jpg

Huyu anamiaka 90. Aliachishwa shule akiwa na miaka 10 na kuolewa. leo anafurahia darasa sana.
Na hajutii...
 
Enzi ya Mwl JK Nyerere kulikuwa na EWW;wazee walipenda kusoma mbinu za kilimo na ufugaji bora,kujikinga na magonjwa,lishe bora nk. Hivi kazi ya taasisi ya elimu ya watu wazima ni nini
 
Enzi ya Mwl JK Nyerere kulikuwa na EWW;wazee walipenda kusoma mbinu za kilimo na ufugaji bora,kujikinga na magonjwa,lishe bora nk. Hivi kazi ya taasisi ya elimu ya watu wazima ni nini
labda ni miradi ya watu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom