pipikijiti
JF-Expert Member
- Apr 25, 2017
- 309
- 406
Hana huo ubavu mkuu...bado anakumbu kumbu za vita ya vietnamHizi kejeli za mmarekani zinamsababisha anavurumisha vitu vya hatari.
Kuna stage ilimrukaJamaa ni aidha hakucheza na watoto wenziye utotoni au hakupata muda mwingi wa kuwa na baba yake. Anahitaji a father figure advice lakini tatizo babaye ni al-marhum! Hahahahaaa
Kabisa aiseee!Kuna stage ilimruka
You noticed that too.....Photoshop