marcus rojo
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 1,496
- 5,319
Yani acha tu tunateseka na haya makato jamani utafikiria tulipenda tu kuwa maskini tusomeshwe na serikali inauma jamani daaaInasikitisha sana pale akina Lissu wanapochukua majukumu ya TUCTA na TUGHE kutetea wafanyakazi wahusika wako busy kuandaa sherehe ambayo haina faida kwa wafanyakazi maana yaliyosemwa mwaka jana hakuna hata moja lililofanyika. GO LISSU GO TLS