Kapyungu A JF-Expert Member Joined Jul 8, 2015 Posts 3,496 Reaction score 3,168 Apr 29, 2017 #2 Zima gari na tulia kimy"a . Maana ukijitia mjanja anaweza litawanya vipande vipande
J Jamaa_Mbishi JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 10,181 Reaction score 7,383 Apr 29, 2017 #3 Abbasfarudume said: Click to expand... Ahaaaaa hapa mimi nafungua kioo na kumukuna huyo tembo....si unaona alikuwa anaomba kukunwa mpaka anajikuna mwenyewe kwenye hilo gari.
Abbasfarudume said: Click to expand... Ahaaaaa hapa mimi nafungua kioo na kumukuna huyo tembo....si unaona alikuwa anaomba kukunwa mpaka anajikuna mwenyewe kwenye hilo gari.
undefine JF-Expert Member Joined Nov 17, 2016 Posts 442 Reaction score 1,012 Apr 29, 2017 #4 Nashuka halafu nachukua pembe zake kisha nasepa
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 Apr 29, 2017 #5 Nashuka nakimbia zangu namuachia hilo gari
Chimps JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 559 Reaction score 356 Apr 29, 2017 #6 Usiombe yakukute
P Percival JF-Expert Member Joined Mar 23, 2010 Posts 4,014 Reaction score 3,110 Apr 29, 2017 #7 Kumueleza yaliomfika faru John yanaweza kumpata sasa hivi asipo kuwa na adabu
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Apr 30, 2017 #8 nataka kujua aliyepiga picha kabla sijajibu
Capitano JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 1,959 Reaction score 1,636 May 1, 2017 #9 unashuka unamwambia shikamoo kaka tembo aaaf unamtekenya lazima atacheka tu