Jamaa anaongezea vitamini zaidi kwenye hizo sambusa
Hivi hawa wauza sambusa huko mitaani wakibanwa haja ndogo au kubwa madumu yao ya sambusa huwa wanamuachia nani wakienda msalani?na wauza...
Huyo mchoro umeuzwa bei kubwa sana kwa kwa pesa ya kitanzania ni sh. Billion 250.
Kwa mtazamo wangu
Huo mchoro hata mtu nikute anauza sh. Elfu 50 siwezi kununua kwasababu sijauelewa maana yake.