sanchez255
Senior Member
- Jun 9, 2015
- 171
- 312
Huna sabab ya kuuchukia uafrika hiyo ndio asili yako... Je ni nn kibaya umekiona hapo kwa picha? Amejistili vya kutosha na hicho ndio kielelezo cha kiafrika haya masuala ya suti, suruali sijui tai kubwa shingoni mababu zetu huko nyuma hawakuyajua kabisa.. Na huyo kiongoz inaonyesha atokeako ndivyo walivyo sasa ww unadhan angevaa suti angekuwa unawawakilishaje watu wake... Hiyo ndio maana ya uwakilishi...Kuna rafiki yangu mmoja aliyekuwa anasema anauchukia "uafrika" wake. Sasa naanza kumwelewa.
Mkuu unasahau kuwa hata wazungu walitembea uchi kama mwafika.Huna sabab ya kuuchukia uafrika hiyo ndio asili yako... Je ni nn kibaya umekiona hapo kwa picha? Amejistili vya kutosha na hicho ndio kielelezo cha kiafrika haya masuala ya suti, suruali sijui tai kubwa shingoni mababu zetu huko nyuma hawakuyajua kabisa.. Na huyo kiongoz inaonyesha atokeako ndivyo walivyo sasa ww unadhan angevaa suti angekuwa unawawakilishaje watu wake... Hiyo ndio maana ya uwakilishi...
Umeongea point mkuu.. Sasa tunalima pamba za nin?Mila na desturi nyingi za kiafrika ni za "kishenzi"tu. Sasa tunalima pamba za nini kama hatuvai nguo.
Mungu mwenyewe alimvika nguo Adamu na Hawa pale katika bustani ya Edeni kwa ajili ya kujisitiri! (MWANZO 3:21). "KUVAA NGUO NI LAZIMA SIO HIYARI"
[HASHTAG]#iamComeFromAfrica[/HASHTAG]Acha hizo, huku tunaweza kujifunza jambo jipya kadiri wachangiaji watakavyochangia
hapo ameshachafua hali ya hewaMwakilishi wa Serikali ya Nchi ya Papua New Guinea Katika Mkutano wa Mabadiliko ya hali ya Hewa wa Umoja wa Mataifa..