Msanii Witness 'Kibonge Mwepesi'

Kiparamoto

Senior Member
Oct 1, 2015
100
100
c03b0b4a3bd0c041154152293d6fa577.jpg
 
Acha wanamitindo waje watoe maksi. Mimi nimeshindwa kuelewa chochote.
miss chagga na Shunie naomba mpite huku kuchambua picha kwa mtizamo wa kimitindo na kilimbwende
 
mhmhmh uyu nae utadhani c MTZ anajiwekaga rouph utadhani. anatokea west africa
 
Amebadilika sana.

Kitambo sijamwona huyu Mtu.

Kama namwona anavyojitingisha kiunoni
 
Back
Top Bottom