johnsonmgaya JF-Expert Member Oct 16, 2015 2,818 3,729 May 18, 2017 #3 Kwa usawa huu? kazi anayo huko nyumbani
dingihimself JF-Expert Member Jan 9, 2016 9,623 19,975 May 18, 2017 #4 Aende kuchukua kwa Mangi bili juu yangu
Nichumu Nibebike JF-Expert Member Aug 28, 2016 8,658 15,784 May 18, 2017 #5 H haa.. Kanikumbusha huzuni niliyokuwa nayo jana baada ya kuliwa na mbetishaji...
muhomakilo jr JF-Expert Member Jul 28, 2013 14,800 12,846 May 19, 2017 #9 Duu asubili fimbo home sasa...
HARUFU Platinum Member Jan 21, 2014 31,561 48,230 May 21, 2017 #10 Mtoto katumwa, kisha Unga umemwagika. Ana Kesi ya kujibu Nyumbani. Jamani. Acha tu