Weka mbali na watoto

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,286
15,529
maxresdefault.jpg


97bae25fe66a3a6e6f0b1c34248079d5.jpg


5ea96cc7ecb3df66d4aea4450209e6c4.jpg


J-10.jpg




maxresdefault.jpg


70-0467-usaf-united-states-air-force-lockheed-c-5a-galaxy-l-500_PlanespottersNet_309930.jpg
 
Hizi ndo za magu zilimfanya mchepuko wangu anikumbatie kwa uoga wakati naendesha gari zilipopita jana juu yangu nusura ajinyee na kunisababishia ajali kwa jinsi alivyonirukia tokea kwenye seat yake pemben4
 
Umenikumbusha mbali: enzi tukiwa wadogo unachora mstari halafu unamwambia kama wewe ni mwanaume vuka. akivuka ngumi zinaanza.
Vipi na kuchotewa mchanga ktk kiganja then unaambiwa mwanaume apige, ukipiga tu unaambiwa lipa ng'ombe, ikifika hapo elewa mtu damu ya pua nje nje.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom