Mchoro wauzwa $110.5m marekani

hazole1

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
4,319
3,916
389b754aeaa0dc30008e8fe983042aa3.jpg
fa6fdbdf03d77c67cc43cb4dfae347e4.jpg

Huyo mchoro umeuzwa bei kubwa sana kwa kwa pesa ya kitanzania ni sh. Billion 250.

Kwa mtazamo wangu
Huo mchoro hata mtu nikute anauza sh. Elfu 50 siwezi kununua kwasababu sijauelewa maana yake.
 
Huko ulaya kuna watu wana hela cha kufanyia hawana ndio wanaamua ku spend kwa staili iyo
 
Hiyo sasa ndiyo demokrasia,nunua kitu unataka hata kama hakina faida kwa sababu una hela,siyo huku kwetu kelele nyingi mfuko mwepesi.Zeni unaitusi sirikali.
 
Huko ulaya kuna watu wana hela cha kufanyia hawana ndio wanaamua ku spend kwa staili iyo
Kukosa kujua maana kunakusababisha ushindwe hata kuelewa nini cha kuchangia...

Bill Gates alinunua kitabu cha sketches cha Da Vinci kwa mamilioni ya dola

Mnadhani wenzenu wanavyonunua arts wanaishia hapo? Jiulize kwa nini Majumba ya sanaa ya ulaya na makumbusho yanalindwa kuliko bank?
 
Kuna watu wanapesa za kuchezea sana. Huo mchoro ni zaidi ya pesa ya bajeti ya wizara hapa Tanzania..
 
389b754aeaa0dc30008e8fe983042aa3.jpg
fa6fdbdf03d77c67cc43cb4dfae347e4.jpg

Huyo mchoro umeuzwa bei kubwa sana kwa kwa pesa ya kitanzania ni sh. Billion 250.

Kwa mtazamo wangu
Huo mchoro hata mtu nikute anauza sh. Elfu 50 siwezi kununua kwasababu sijauelewa maana yake.

Devil at work dude...! Wanaouza na kununua wanaelewa maana yake.
 
kadri siku na matukio yanayoendelea uelewa wangu kwa wazungu unazidi kua finyu aiseee
huu mchoro mie ningekutana nao barabaran ningeukojolea aiseee
 
Back
Top Bottom