Miaka mitano ijayo inaonesha wazi wanaume watakuwa wakutafuta km ilivyokuwa miaka ya 80 kurudi nyuma nasikia mwanamke kumpata ilikuwa tabu,
Sasa wanawake si wa kuvizia tena Ila tuendako wanaume...
najua umekuja mbio ukifhani utakutana na chupa za manukato ya gharama
mafuta na losheni mbalimbali. Ukweli ni kuwa losheni, manukato na mafuta yanayo mng'arisha mwanaume ni pesa... pambana upate...
Haya ndio yanayojiri kule Gold Coast, Australia Kwenye michezo ya Commonwealth 2018. Nambari moja, mbili, tatu wote wakenya, kwenye mbio za Steeplechase mita 3,000.Nambari moja, mbili wote...