Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,968
Habari ndio hiyo wakuu.
Jiandaeni kisaikolojia.
Upimaji wa Tezi dume unapimwa na kwa kuingizwa dole kwenye bomba la nnya la mwanaume.Ndiyo nini hii mkuu?
Heeeh. Hatari.Upimaji wa Tezi dume unapimwa na kwa kuingizwa dole kwenye bomba la nnya la mwanaume.
Muandae beb wako dearHeeeh. Hatari.
Ngoja tuone wataokubali
Hapana aiseeh.Muandae beb wako dear
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23]Heeeh. Hatari.
Ngoja tuone wataokubali
Mwanaume wa darNani aende?
Nyumba kwa nyumba mzee.. Subiria ndole la MakondaktaNani aende?
Bashite ana mpango wa kupima wanaume tezidume kwa lazima huku Dar,sharti dole liwe imara![emoji53][emoji53][emoji53]Ndiyo nini hii mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23]!....huku mkoani hatuwataki wanaume wa Dar![emoji53]Te te te nitakuwa mkoaniiiiii
Wanapita nyumba kwa nyumba wakiwa na balozi wa nyumba kumi kumi wala hutakiwi kwenda popote mkuu![emoji53][emoji53][emoji53]Nani aende?
Nahamia kabisa mkuu...kwani unaogopa tutachukua milupo yenu[emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]!....huku mkoani hatuwataki wanaume wa Dar![emoji53]