Mizengo Pinda na M-Pesa

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,142
13,216
Waziri Mkuu mstaafu Mhe.Mizengo Pinda akiwa kibanda cha MPESA akisubiri kupokea malipo ya muamala wake.

13221540_1030505243694822_4061773417501302496_n.jpg
13221540_1030505243694822_4061773417501302496_n.jpg
 
Pamoja na mambo yake mengine but huyu Mzee naona anazeeka wka hekima aiseee, natamani na mimi nije kuwa na uzee wa dizaini yake. Hapo ujue ameshauza mahindi au asali anasubiria malipo yake toka kwa mteja. au anasubiri muamala akanunue sukari?? Hivi huyu Cameraman wake ni nani?
 
hue

huenda pia anataka kutoa tangazo kupitia M-PESA
 
atauza balaaa, si unakumbuka aliwahi kuvalishwa Fulani nadhani ya Tusker au Safari kwenye maadhimisho flani hivi
duh siikumbuki hiyo nakumbuka za mei mosi na mwenge tu...tupia kama unayo
 
Ila kawa handsome aisee, na shati lake la Kitenge na mkono kiunoni kha!!
 
Kanenepa, kapendeza mwenyewe,
Sasa hivi ndio anafaidi maisha kaondokana na stress za wabunge.
 
"Tumesema msitie fujo nanyi mkatia fujo mutapigwa tu eeeh maana hakuna namna nyingine.... Hii nchi inaendeshwa kwa sheria" Walikufa kweli ndugu zetu
 
Back
Top Bottom