habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,788
- 8,755
Miaka mitano ijayo inaonesha wazi wanaume watakuwa wakutafuta km ilivyokuwa miaka ya 80 kurudi nyuma nasikia mwanamke kumpata ilikuwa tabu,
Sasa wanawake si wa kuvizia tena Ila tuendako wanaume watakuwa wakuvizia
si wa dalili hizi wanazozionesha wanaume wa karne hii
Sasa wanawake si wa kuvizia tena Ila tuendako wanaume watakuwa wakuvizia