donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
.
Safi imetulia hiyo
Hata sijui nicoment nini
Umenikumbusha nilipokuwa kijana mkuu wkend especially jumapili nilikuwa nikipiga supu naunganisha bia mpaka saa tano usiku.
Umenikumbusha nilipokuwa kijana mkuu wkend especially jumapili nilikuwa nikipiga supu naunganisha bia mpaka saa tano usiku.
Sasa hivi watoto chuo kikuu ada na meals allowance yaani hoi kabisa hata hamu ya bia imepotea kabisa
...........ni wakati wake mkuu naona anapita mule mule ulikosema,mdau anatoa na lock kabisa Safari moja ikianzisha nyengine unafikiri kuna kuondoka hapo?Umenikumbusha nilipokuwa kijana mkuu wkend especially jumapili nilikuwa nikipiga supu naunganisha bia mpaka saa tano usiku.
Sasa hivi watoto chuo kikuu ada na meals allowance yaani hoi kabisa hata hamu ya bia imepotea kabisa