Mamilox mmoja nchini Uingereza anaeitwa Elizabeth..'Alaf haya majina ya Eliza haya!'anyways Mwanamke huyo aliewahi kutembea na wanaume 221 amefanya kufuru baada ya kuamua kufunga ndoa na Mbwa...
Hapa tunaona mvurugano wa chama CCM na kiongozi mkuu ndiye yupo kwenye TV yani anaongoza ukiangalia TV ni CCM sasa jua linazama na kuna mvurugano yani Mda unaisha miaka 5 ya uongozi inaisha...