Suala la Bodaboda liangaliwe upya,ona akili hii ya dereva huyu

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
23,410
36,559
FB_IMG_1565615992336.jpg
 
Msiba wa Morogoro wa janga la moto yote kasababisha bodaboda.

Inachosikitisha zaidi kuna uwezekano mkubwa yeye hajaungua kama bodaboda wenzie waliokuwa eneo la tukio baada ya gari iliyo mkwepa kupinduka.
 
Hawa jamaa ni hatari kuliko hata magonjwa yaliyotishio kwa jamii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom