Buku tu kwa kilo.....

Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
141,151
Points
2,000
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
141,151 2,000
Bora mwenzangu una ujasiri wa kuuliza. Wengine tuna aibu tunauliza baada ya kula tena masaa manne mbele
Hahaaaa. Nimecheka sana.

Yaani mimi kula hiyo kitu labda wasiniambie japo huwa nina kawaida ya kuuliza hasa pale kitoweo ninapokiona sikielewielewi.
 

Forum statistics

Threads 1,325,442
Members 509,127
Posts 32,192,662
Top