bwege nazi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 700
- 904
Njaa mwanaukome ujeuli kwa mama yako waswahili wanasema mkuuhapa kazi tuu mpaka kieleweke.
Ruvu hiyoWapi na lini?
Mwenye mtoto wake hata habari hanaNamuonea huruma mtoto aliyebebwa mgongoni
Njaa uisikie hivyo hivyo kwa jiraniMapambano yanaendelea bado.
Mwenye mtoto wake hata habari hana
Itakua hawajapata taarifa hawaNionavyo ugumu wa maisha ndio chanzo cha yote.
Sababu kama hiyo picha ni ya jana labda, unaeza sema hao hawana taarifa ya yaliyotokea Moro?
Huenda Mkuu. Japo baadhi ya binadamu tunajulikana kwa ukaidi.Itakua hawajapata taarifa hawa