Wananachi wamuogopa kumsogelea simba aliye anguka chini

MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,208
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,208 2,000
tanki-la-mafuta-limeanguka-jpg.1180722


hiyo-itakuwa-timu-ya-wabishi-wa-jadi-ni-damu-chafu-hiyo-jpg.1180723


HIYO ITAKUWA TIMU YA WABISHI WA JADI NI DAMU CHAFU HIYO
 
kimbendengu

kimbendengu

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Messages
2,886
Points
2,000
kimbendengu

kimbendengu

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2013
2,886 2,000
Mzizi hawa walioshikilia madumu taarifa za morogoro hawakusikia!!
 
Kamwene kamwene

Kamwene kamwene

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2019
Messages
306
Points
1,000
Kamwene kamwene

Kamwene kamwene

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2019
306 1,000
Hawa jamaa hawakuziona zile picha za morogoro nafikiri wameskia kwenye Radio tu
 
Lord eyes

Lord eyes

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2018
Messages
5,491
Points
1,995
Lord eyes

Lord eyes

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2018
5,491 1,995
Hahahaha watu wamepinda haswa
 
mulwanaka

mulwanaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
2,926
Points
2,000
mulwanaka

mulwanaka

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
2,926 2,000
Ila umasikini ni kitu kibaya zaidi sanaa mtu anapiteza hata uelewa
 
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
18,534
Points
2,000
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
18,534 2,000
Mbona naiona kama Diesel hiyo kama ni Diesel basi Rukhsa haina madhara ila sio kutoboa Tanker wao wageme kwa Utaratibu kila mmoja na zamu yake.
 
google helper

google helper

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
4,653
Points
2,000
google helper

google helper

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
4,653 2,000
wakinge tu mdogo mdogo kwa folen alafu ulizi mkali eneo la betri
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
13,081
Points
2,000
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
13,081 2,000
Hapo sio umasikini bali ni hulka na tabia ya iliyozoeleka na ni nchi za Africa zaidi
Maana unakuta hata mwenye lorry akilinyanyua akaambiwa kuna taa za wizi atanunua bila kujali
Hii ndio Africa na asilimia kubwa ni hivyo haijalishi masikini wala mwenye nazo
 

Forum statistics

Threads 1,325,450
Members 509,127
Posts 32,192,881
Top