Kuna picha nilikuwa nazipenda sana zimefutika nimejaribu Ku aproad app ya diskdigger bado hainiletei picha ninazozitaka sijui kwasababu simu nimeirestore mwanzoni ilikuwa inaniletea picha zangu...
mmmhhh jamani hao watoto ni aibu kwa wazazi ama walimu wao...mie hata sijui dunia ya sasa ....kuna katoto kamoja jirani yetu hapo kako hapa TPDC..MMH ukikaona kako silent kumbe wana mambo makubwa...