Kilisha salama ila nadhani utekelezaji wa maagizo uliwaponza wengine.Ila wengine walikubali kwa shingo upande
Na pia utekelezaji ulikua mgumu.Ilikuwa ni maagizo mazito
Kaka ni muda kidogo..binafsi siwakumbuki hata majina...nakumbuka agenda yao tu.Sikumbuki vizuri hivi mwenyekiti ndo aliambiwa ndo amvalishe paka kengele au yule mdogo kuliko wote anayeitwa Kadogo
apo panya mabaka ndo alipta msala ,uyo kadogo alikuj kufanikiwa kumvlisha kengeleKaka ni muda kidogo..binafsi siwakumbuki hata majina...nakumbuka agenda yao tu.