Ungempotezea kama ni kiki basi kiki yake ingebuma sasa unampaisha wewe mwenyewe...safi sana ndugu katibu wa wizara ya maji...
Yesu wa CCM in Kangi's voiceTuwie radhi tunamfurahisha mtukufu kwanza
Nimekusoma... Basi angalau uzuge [emoji23][emoji23]Hata asingepiga chepe sawa tu, sio jukumu lake, la msingi kafika kujionea progress live site. Awamu iliyopita walikuwa wanasign hela ya trip na hawaendi huko wanasubiri report itumwe kwenye W/aap. Asiyemshukuru mwanadam amuonae ni vipi aweza mshukuru Mungu?
Njaa hizi acha kabisa zinafanya watu wakufuru.Yesu wa CCM in Kangi's voice
Who is this?
Anajisumbua tu Savimbi amesha mu outsmart
Kwani hamna mwenye sururu karibu hapo amalizie?
Yule purofesa alietishiwa na spoku akahama chamaNi nani huyo?
Malaya wa kisiasaNi nani huyo?
Member mwenzako wa Jf Hugo Kitilya MkumboWho is this?
Ok. Nimempata.Member mwenzako wa Jf Hugo Kitilya Mkumbo