Je tuseme rangi za chama pendwa zimesha tangulia ikulu?
Nadhani hii itakua nzuri sana chadema ikiingia ikulu siku moja.
Rangi nyekundu,blue, na nyeupe zina wakilisha vizuri sana bendera ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli akiombewa na viongozi wa kidini kutoka mkoani Singida mara baada ya kufungua Kiwanda cha usindikaji wa Alizeti leo hii Machi 11, 2018.
Wanafunzi kadha wa shule moja eneo la Sichuan, China wamepata ngazi mpya kuwasaidia kupanda na kushuka urefu wa mita 800 kufika na kuondoka shuleni.
Kijiji cha Atuler kimepewa jina la utani...
Kama picha inavyojieleza Mhe. Kingwendu mgombea ubunge kupitia CUF akijinadi mbele ya wapiga kura wake. Wanakisarawe kwa kauli moja tumemkubali na tunasubiri tarehe 25 oktoba tukampigie kura za...