Jimbo linaongozwa na mtu mwenye faili Mirembe unategemea nini?
Mbunge wake yuko busy kupigania ukomo uondolewe
Ndugu wai?Muulize speeker
Haya mnayajua baada ya kutajwa kongwa iliko ccm.Mbona Rais na m/kiti wa ccm alikua anawaagiza na kuwakejeli wananchi waliochagua mbunge mpinzani waende wakaombe maendeleo kwa mbunge wao,kusema hajui kuwa swala la maendeleo ni jukumu la serikali inayokusanya kodi?Wapo huwa wanaamini mbunge ndio mleta maendeleo. Poleni sn. Hata mradi ulioletwa kwenye Jimbo na serekali mbunge anapatia kiki hapohapo kuwa yeye ndio kauwezesha. Bado safari yetu n ndefu sn
Tobaaa.Kongwa si iko Morogoro?