:A S-danger:Sabato Masalia
Kutoka kwa Mzee wa Sumo Blog:
Jamaa waumini wa Sabato Masalia bado wanasubiri kwenda ng'ambo kuhubiri neno la Mungu, bila passport wala nauli hii ni...
Huyu ndio Miss Universe wetu 2010 hivi Lundenga huwa hawaoni Ma-miss wa ukweli kama huyu nadhani sasa shindano lake limepoteza mwelekeo na mvuto kwa kutoa Ma-miss wasio katika kiwango!
Anaitwa Cynthia Masasi, ni Mtanzania aliyezaliwa na kukulia Mwanza, Her step father Hon. Bihondo was the Mayor of the Mwanza city council until recently when he was arrested for alleged murder of...
Weekend is upon us guys, ndio unatoka kazini unajivuta taratibu kuelekea kusikojulikana, mara tu unakutana na bonge la queen kama huyu. Je weekend yako utaianza na kuimaliza vipi?.
Binadamu tunapenda kuishi ndio maana tukiona maiti tunakuwa na huzuni na wengine kutokwa machozi .Je, hawa Wamexico kwao maisha hayana thamani?
Habari zaidi unaweza kupata hapa:Murder capital of...