Picha yangu ya Leo ni hii

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,322
33,127
:A S-danger:Sabato Masalia

Kutoka kwa Mzee wa Sumo Blog:

Jamaa waumini wa Sabato Masalia bado wanasubiri kwenda ng'ambo kuhubiri neno la Mungu, bila passport wala nauli hii ni kambi yao iliyoko Tabata wanalala kichakani wake kwa waume na hicho ndio choo chao. Kweli mtu akiwa anashusha mambo hawezi kupigwa chabo?

**************************************************

Wadau, wenye habari za hao jamaa watuelezee. Sijaelewa nia yao. Yaani wanakaa kichakani wakitegemea ng'ambo kuhubiri neno la Mungu?
 
Mzizimkavu....haya mambo na hii picha mbona ni vya muda mrefu sana....sijakuelewa nia na dhumuni lako la kuweka hii picha hapa ni nini lakini nadhani kuna chembe chembe fulani za hatari unataka kuanzisha....anyway ni mtazamo wangu ila sizani kama una nia nzuri
 
Sina nia mbaya kitu kinachonishangaza hawa watu watakaa mpaka lini huko Porini? Wanangojea kwenda N'gambo Kuhubiri Neno la Mungu, bila ya kuwa na Passport wala Nauli je hii ni Kweli itakuwa? au ndio wanangojea kuliwa na Chatu au Mamba watokao Mtoni?

Mambo ya imani zingine kusema ukweli ni Vichekesho sana wewe kwa kutumia akili yako umeona wapi Mtu anaweza kusafiri kwenda N'gambo pasipo na Passport wala Nauli? Hivyo ni Vichekesho na Serikali inawaangalia pasipo na kuweza kuwasaidia hao watu.

Mimi nawaona kama Wamechanganyikiwa Akili zao itabidi Wakamatwe kisha wapelekwe Muhimbili kuangaliwa Akili zao sio nzuri.
 
Back
Top Bottom