Msiwasingizie wachina jamani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msiwasingizie wachina jamani!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Boflo, Aug 27, 2010.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  ahaa ahaaa ahaaa wanajikosha hao wameishajulikana kuwa ni wazee wa fake products
   
 3. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  wasijishaue bure tunawajua ni mafake masterz.
   
 4. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha hakuna fake ya sumu tu
   
 5. m

  mpangwa1 JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2010
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 279
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Cheusimangala hii avatar hako mbona kama wewe mwenyewe ila siku hizi umenenepa kidogo
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Wenyewe ni feki vile vile anaweza akaja leo Xi li huan halafu kesho akaja Xi lin xhuan ukajua ndo yule yule kumbe mwingine, hahahha u feki umeanzia kwenye majina yao hadi sura zao. Nakumbuka wakati nipo mdogo kulikuwa na story kwamba wachina wakicheza mpira huwa hawachoki simply kumbe wanaweza wakaingia hata watu 22 kwenye mechi moja sababu wanafanana mno. Mpira ukitoka akienda kuokota harudi yule anaingia mwingine na refa anashindwa kuwatofautisha hahaha so mnapigwa bao kirahisiiiiii
   
Loading...