Picha iliyo ni huzunisha leo

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,221
3,167
JUAREZ-MEXICO.jpg
Binadamu tunapenda kuishi ndio maana tukiona maiti tunakuwa na huzuni na wengine kutokwa machozi .Je, hawa Wamexico kwao maisha hayana thamani?

Habari zaidi unaweza kupata hapa:Murder capital of the world | Bleeding corpses have become a common sight on Mexico's drug-riddled streets. | News Of The World
 
Hivi huko Mexico hakuna cha mwezi mtukufu wala nini??!!
Mungu apitishe mbali hilo balaa:shocked:
 
The 2000 census reported that Mexico had some 101,456,786 Catholics among the population aged five and above, which equates to around 91% of the total population, making the second largest Roman Catholic country in the world after Brazil. The country is divided into 90 Dioceses, and there are 15,700 priests and 46,000 men and women in religious orders.
 
Huku wakituonyesha kwa mbwembwe tamthilia ya "Don't mess with my angel" aka "MARICHUY" ... Mexico City ni moja ya mji wenye idadi kubwa ya watu duniani zaidi ya milioni 22...
 
kweli inasikitisha mbona wamexico wenyewe wanaonyesha hawana huzuni wako busy na shughuli zao..
utadhani gunia la mkaa ndo limewekwa hapo???
 
Mexico ni ya pili kwa idadi ya wakatoliki ikiongozwa na brazil ila ianaongoza kwa drug trafficking ikifatiwa na brazil.
 
yaani jamaa wanaendelea na biashara zao, kweli utu umekwisha kabisa!
 
yaani jamaa wanaendelea na biashara zao, kweli utu umekwisha kabisa!

Sasa wafanyeje jamani......time is of more value kwao.....wakulaumiwa ni authorities wanaochelewesha kutoa huo mwili....niliwahi kufika Hong Kong ikatokea ajali mtu kagongwa akafa watu wakaendelea na shughuli zao kama kawaida.....sisi tungekaa kushangaa na kuacha shughuli hata kusababisha foleni.
 
...Watu wetu wengi hawana kazi ndio maana kunapotokea hata kakitu kadogo tu watu kibao. Ila hawa jamaa kiboko watu wanamega menu na maiti iko pembeni hawana wasiwasi. Ingekuwa bongo hapo kila mtu anatafuta stori...:A S 100::A S 100:
 
Back
Top Bottom