Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiongozana na watoto Levina Lusinde (kushoto) na Isaya Lusinde kutoka kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma. Watoto hao ni wa Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde...
Hii kali jamaa kule Nyeri Kenya wamewalazimisha wasukuma mikokoteni kuoga hadharani maana wanasema ni wachafu hawaogi na hawabadiili nguo. Vijana wa kazi wamefanya operation KUOGA NI LAZIMA kwa...