Pinda katika picha na watoto wa MB. Lusinde nimeipenda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda katika picha na watoto wa MB. Lusinde nimeipenda

Discussion in 'Jamii Photos' started by Lucchese DeCavalcante, Apr 19, 2011.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiongozana na watoto Levina Lusinde (kushoto) na Isaya Lusinde kutoka kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma. Watoto hao ni wa Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
   
 2. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Picha yenyewe iko wapi sasa?
   
 3. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2011
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,019
  Trophy Points: 280
  upofu au?
   
 4. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nimefarijika kuwa 'handsome boy' wetu anatabasamu siku hizi.
   
 5. Qulfayaqul

  Qulfayaqul JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2011
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 471
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wanajiandaa nao kuwa waheshimiwa
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  natalka niingie tenda ya kuwasambazia viongozi wetu suti jamani.hing quality kwa bei chee kabisa
   
Loading...