Mwenda pole hajikwai

Mwenda pole hajikwai

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
5,222
Reaction score
3,176
GO9G5073.JPG
 
mmoja wa hao wasio na kijani si alishutumiwa kuwa aliuza ubunge aliokuwa ameshinda mbeya vijijini? au ni makengeza yangu
 
mmoja wa hao wasio na kijani si alishutumiwa kuwa aliuza ubunge aliokuwa ameshinda mbeya vijijini? Au ni makengeza yangu
ndo yeye mkuu anaitwa sambwe shitambala!
 
Bogus hilo
hUYU BWANA SIKUMTEGEMEA KABISAA KAMA ANAWEZA KUDANGANYIKA NA CCM!
KUMBE UKOMBOZI UPO KWA WANANCHI WENYEWE NA SI VYAMA!
INATAKIWA MISRI MOJA HAPA!
 
alishachokwa na wana-CDM-Mbeya na alikuwa hana choice nyingine...
 
Jamani mwenzenu kakimbia aibu ya usaliti, nafsi inamsuta:yield:
 
Huyo wa kulia kwa JK ni aliyekuwa katibu mwenezi na mgombea ubunge wa CDM jimbo la Ileje Mbeya...
 
Kweli mbuzi ni mbuzi hawezi kuwa simba.. 20%

Mapandikizi yanajitoa yenyewe tu nilikuwa nategemea hiki ki2 ..to hell with em.
 
Kweli Mbuzi ni Mbuzi hawezi kuwa Simba....20%

Mapandikizi yanajitoa yenyewe ..nilitegemea hii ki2 anyway to hell with em..
 
mmoja wa hao wasio na kijani si alishutumiwa kuwa aliuza ubunge aliokuwa ameshinda mbeya vijijini? au ni makengeza yangu


Alishakuwa wa kutilia mashaka sana tokea uchaguzi mdogo huyu,ndo huyo2.Njaa kitu mbaya.
 
Shitambala nafsi imemsuta na hawezi kuwakabili tena wa CDM mbeya, alishwahi jiuzulu uenyekiti na baadae kurudi mjengoni bt nafsi imemsuta kaamua kiachia nagzi
 
Huyo wa kulia kwa JK ni aliyekuwa katibu mwenezi na mgombea ubunge wa CDM jimbo la Ileje Mbeya...

Mtu mwenyewe anajionesha wazi. Mi nadhani Chama chetu kianze kuandaa watu. Huyu nadhani ata ubunge asingepata mkuu.
 
Back
Top Bottom