Adha ya kufungiwa njia segerea!

Jidu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
1,232
754
Image0071.jpg Image0070.jpg

Hii ni adha ya kufungiwa njia na magereza pale segerea,magari yanashindwa panda milima na kuziba njia kabisa mbona balaa!
 
kwa hiyo ulitaka magereza iwe public (open) path? na nini maana ya magereza. Kwanza pale palitakiwa pawe pamejengwa fence long ago. tatizo walivyoacha watu wawe wanakatisha, tumesha pamiliki. It is there right kufunga that road
 
Si wanakarabati pale au wamefunga ili isitumike kabisa?
 
Si wanakarabati pale au wamefunga ili isitumike kabisa?

hata wakifunga, ile road ni kwa ajili ya matumizi ya magereza. Mbona lugano kuna road inakatisha kutokea kawe au mikocheni (pale karibu na bucha ya kiti moto) hawaruhusu wameweka bandiko kuwa ni kwa matumizi ya jwtz tu, na hakuna aliyewahi kulalamika?
 
Back
Top Bottom